Ujenzi wa ghorofa

KiinuaMgongo

Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Mimi ni moja ya watu waoga wa kujenga ghorofa, hofu yangu kubwa ni juu ya gharama. Lakini nimekuja kufikiria faida za kujenga ghorofa mfano kuepuka gharama za bati, kwa kujenga ghorofa kiwanja kilichokuwa kijenge nyumba moja basi chaweza kujenga nyumba 10 juu yake. Naomba wazoefu wa ujenzi wa ghorofa watupe maujanja juu ya gharama za ujenzi wa ghorofa, changamoto zake na namna ya kujinasua.

Nawasilisha.
 
Hutaezeka utaacha wazi?
 
Wakati ulipokuwa unaogopa hukuwa na hela, sasa zimekutembelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…