Ujenzi wa fensi

Ujenzi wa fensi

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,279
Reaction score
5,740
Naomba kuuliza, je, fensi ya tofali za bloko iliyojengwa bila nguzo za zege ni imara pia?

Hapa namaanisha, ile fensi ambayo imejengwa kwa matofali fensi nzima bila kuwa na nguzo za zege, bali nguzo za matofali tu!

Fensi ya namna hii inaweza kudumu miaka mingapi bila kuanguka?

Naona teknolojia inazidi kukua sijui au ni utafiti unarahisisha mambo!. Zamani walikuwa wanajenga fensi ikiwa na nguzo za zege kila baada ya mita kadhaa katika ukuta, lakini siku hizi naona nguzo za tofali tu.
 
Back
Top Bottom