Leo trh 3/1/2022 ktk pitapita zangu ktk maeneo ya kituo cha Polisi Kiluvya Gogoni nimeshuhudia maandalizi ya Ujenzi wa barabar ya lami ikitokea ktk kituo hicho cha Polisi ikielekea maeneo ya Shule za Hondogo.
Angalizo la wananchi ktk eneo hilo ni:
1. Thamani ya fedha itakayo tumika kweli ionekane
2. Barabara/mchepuko huo ni wa Tanroad hivyo Jengeni barabara ili kuwasaidia wanchi kwa urefu ambao utawasidia isiwe danganya toto.
3. Bomoeni nyumba au Fensi zilizo jengwa ktk hifdhi bila woga, fuateni sheria za nchi.
Chapeni kazi kwa masilahi ya wanchi sio kwa kujali matumbo.
Mungu mbariki Rais wetu Samia kwa kudhamiria kuwaletea maendeleo wananchi wote wa Tanzanaia.