Naona ufahamu vitu vingi kuhusu ujenzi wa hapo Jangwani ungefanya kwanza hata utafiti kiduchu usingekuja na huu uzi.Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko.
Au Kwa kuwa walipa Kodi ni MATAJIRI sana ndiyo maana hawaoni uchungu wa Kodi?
Sawa Rais 2030Naona ufahamu vitu vingi kuhusu ujenzi wa hapo Jangwani ungefanya kwanza hata utafiti kiduchu usingekuja na huu uzi.
Ila chadema aisee, dah! Mungu awasaidie sana. Kwa huyu Mama mmeshachemka tayari kitambo tu........kajipangeni upya.Huu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko.
Au Kwa kuwa walipa Kodi ni MATAJIRI sana ndiyo maana hawaoni uchungu wa Kodi?
Linajengwa daraja.. Njia ya sasa inayotengenezwa ni ya muda wakati ujenzi wa daraja utakapokuwa unaendeleaHuu ujenzi unaoendelea hapo je hawataki kujifunza makosa waliyoyafanya hapo mwanzo?JWANGWANI Kila mwaka mafuriko na ilipendekezwa kujengwe daraja la juu kutokea magomeni mapipa Hadi jeshi la zimamoto lakini wamepuuza Kwa kujenga barabara ya chini ambayo Kila mwaka inazidiwa na mafuriko.
Au Kwa kuwa walipa Kodi ni MATAJIRI sana ndiyo maana hawaoni uchungu wa Kodi?
NI kweli siku Fanya utafiti wa kina Bali nimefanya utafiti Kwa kuangalia Kwa machoNaona ufahamu vitu vingi kuhusu ujenzi wa hapo Jangwani ungefanya kwanza hata utafiti kiduchu usingekuja na huu uzi.
Hapo nimekuelewa.Linajengwa daraja.. Njia ya sasa inayotengenezwa ni ya muda wakati ujenzi wa daraja utakapokuwa unaendelea
NA kile kituo hakikuwa na tija yeyote maana hakuna makazi ya watu pale zaidi ya Ile karakana ya mabasi ya mwendokasi ambayo ilizidiwa na mafuriko.pale mtu atashuka kwenda wapi?Hiki kituo cha mwendokasi hakina kazi tena naona kimebomolewa chote kufanya kitu bila plan ni hasara Tu
Jamaa waliahindwa kutambua kuwa pale jangwani hakuna makazi ya watu? Ni bonge la hasara sanaaNA kile kituo hakikuwa na tija yeyote maana hakuna makazi ya watu pale zaidi ya Ile karakana ya mabasi ya mwendokasi ambayo ilizidiwa na mafuriko.pale mtu atashuka kwenda wapi?
Hata huku Busisi wakati wanajenga service bridge wenye husda wakaanza, "Ooh! Kadaraja gani ka hivyo"! Ahahahahaha!!Kuwa na subira, daraja linajengwa, hayo unayoyaona ni maandalizi ya site.
Linajengwa daraja.. Njia ya sasa inayotengenezwa ni ya muda wakati ujenzi wa daraja utakapokuwa unaendelea
NI kweli siku Fanya utafiti wa kina Bali nimefanya utafiti Kwa kuangalia Kwa macho
Hapo nimekuelewa.
======Naona ufahamu vitu vingi kuhusu ujenzi wa hapo Jangwani ungefanya kwanza hata utafiti kiduchu usingekuja na huu uzi.