Ujenzi: Ushauri wa aina nzuri ya Madirisha

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,409
Wakuu nataka kuanza mchakato wa kuweka madirisha kwenye pagale langu.

Naomba idea ya aina nzuri ya madirisha ukiondoa hizi aluminium za mchina ambazo naona sasa hivi ndo kama fasheni kila mtu anaweka. Ukiweza kuweka picha itapendeza zaidi.

Eneo husika kuna vumbi jepesi na baridi kali kiasi.
 
Hayo ni ya chuma ya kuchomelea.ukimpata fundi mzuri..
JPEG_20200726_130656_6286744210125416316.jpg
JPEG_20200726_130817_5889311714446798501.jpg
JPEG_20200726_130933_6657957342535835625.jpg
JPEG_20200726_131048_3180454931707955453.jpg
 
Back
Top Bottom