1. Kiwanja
2. Kuwa na ramani na makadirio yake.
3. Matofali
4. Anza msingi hivyo saruji na mchanga + kisima cha maji (unaweza tumia karo kwa kuanzia)
5. Pandisha hadi linta
6. Wakati wa kupaua hakikisha una hela kamili za kuezeka.
7. Weka grill (kama usalama mdogo)
8. wiring na pipes za maji (peleka na maombi ya umeme)
9. piga plasta
9. Rangi
10. Madirisha na milango
11.Hamia.