Ujenzi kidogodogo

Ujenzi kidogodogo

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
Hivi ukitaka kujenga kidogodogo unatakiwa kuanza kununua nini mfano una milion moja au pungufu au zaidi kwa mtu wa kijijini.
 
1. Kiwanja
2. Kuwa na ramani na makadirio yake.
3. Matofali
4. Anza msingi hivyo saruji na mchanga + kisima cha maji (unaweza tumia karo kwa kuanzia)
5. Pandisha hadi linta
6. Wakati wa kupaua hakikisha una hela kamili za kuezeka.
7. Weka grill (kama usalama mdogo)
8. wiring na pipes za maji (peleka na maombi ya umeme)
9. piga plasta
9. Rangi
10. Madirisha na milango
11.Hamia.
 
Good approach, ila umesahau mapazia
 
Una akili sana
 
Back
Top Bottom