Ujenzi Holela

Ujenzi Holela

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Nini maana ya neno hili ujenzi holela.

1.Nimejenga nyumba eneo ambalo halijapimwa kimipango miji nini hatma yangu?

2.Ni ukubwa gani wa ardhi unatakiwa kisheria uweze kupimiwa eneo ama kiwanja chako na uweze kupatiwa hati miliki?
 
Ina maana huu uzi hamjaona au ndo wote mnaishi nyumba za kupanga?
 
Wadau naombeni mnipe ujuzi wenu maana nimeenda idara ya ardhi sikuwapata wahusika.
 
ujenzi holela maana yake ni kujenga kwenye eneo ambalo halijapimwa na halitambuliwi na mipango miji.Sasa kama halitambuliwi na mipango miji huwa kuna mpango wa urasimishaji ambapo kila mtu hupimiwa kulingana na eneo lake na eneo linatakiwa liwe na 400sqm na kuendelea.Hebu nijuze uko wapi alaf niendelee kukushauri.
 
Ok shukran kwa jibu lako,
mimi nina nyumba ktk mikoa miwili tofauti lakini maeneo yote hayajapimwa.
ARUSHA na Mbande Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom