Ujazo

Wataalamu ndo Sisi tunaanza kuja....!

Tani Moja Sawasawa Na Kilo Alfu Moja.. Sasa jiulize Tank Lako Lina ujazo kiasi gani?

Halafu zigeuze kwenye tani...!

Masikitiko Yangu tu ni Babu Tale naye katunukiwa U dokta kama Mama?

Udokta Umekuwa rahisi Hivyo...!
 
Lita moja ni sawa na kilo moja.
Tan moja ni sawa na kilo elfu moja. .

Mpaka hapo upon?
 
Unataka kujaza nini, kama ni maji, haya twende pamoja,
Nenda kapime urefu wa tanki(height), na kipenyo cha mduara(diameter)
Halafu tumia hii formula kupata ujazo, lakini formula inatumia nusu kipenyo, maana yake gawanya kipenyo kwa 2 ndio upate radius r



Jibu litakua la ujazo, yaani cubic centimeter au cubic meter , inategemea ulichukua vipimo kwa meter au centimeter
badilisha ujazo wa kuwa lita
1 cubic meter = 1000 litre
1cubic centimeter = 0.001 litre
Jibu utakalopata la litakuwa la lita
Sasa kwa kuwa lita moja ya maji (nakazia ya maji) ni kilogram 1,
badilisha hizo lita kuwa tani, kumbuka kwa kila kilogram 1000(litre 1000 za maji) ni tani 1
 
Sielew kitu hapo mr baraka alinichapa sana mwisho wa siku akasema haya nenda

Sasa ww tena nae unanichanganya ubongo tu hapa
Ujazo wa maji unalingana na kilo moja. Kwa hesabu za haraka haraka 1kg = 1 liters of water. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…