Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Jul 19, 2012 #1 jamaa mmoja msahaulifu sana,siku moja alikwenda mgahawani kupata staftahi akawa ana hamu na mayai sasa akawa amesahau yanavyoitwa.Akafikiriaa weee akawa hakumbuki.ikabidi aseme haloo hebu nipatie chai ya maziwa na mimba mbili za kuku.
jamaa mmoja msahaulifu sana,siku moja alikwenda mgahawani kupata staftahi akawa ana hamu na mayai sasa akawa amesahau yanavyoitwa.Akafikiriaa weee akawa hakumbuki.ikabidi aseme haloo hebu nipatie chai ya maziwa na mimba mbili za kuku.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,148 Jul 20, 2012 #3 kobonde said: onyooooo Click to expand... Mkuu sijakuelewa hapa ulitaka kuandika 'nyooo' au 'onyooo' ?
kobonde said: onyooooo Click to expand... Mkuu sijakuelewa hapa ulitaka kuandika 'nyooo' au 'onyooo' ?