Ujasusi Sebuleni Kwetu



Sijaelewa hii ni lugha gani? Ama ni mpya hapa duniani?
 
Upo vizuri sana kwa story, but uchambuzi wako umeshindwa kunga’mua Al-Qaida, ni kazi ya CIA. Uongo kila sehemu! unawachota wengi sababu watu wanapenda kumezewa tu..!
 
Upo vizuri sana kwa story, but uchambuzi wako umeshindwa kunga’mua Al-Qaida, ni kazi ya CIA. Uongo kila sehemu! unawachota wengi sababu watu wanapenda kumezewa tu..!
Heshima yako mkuu,

Hebu tuandikie hiyo makala kuhusu Al-Qaida kuwa "kazi" ya CIA tufaidi hiyo ilmu chief...

Kama unasema hili kwa sababu tu umesikia watu wanasema hivyo but hjui kwa nini basi nitakusaidia kukupa sababu kwanini watu wanadhani al-qaida ni kazi ya CIA kisha nitakuchambulua hiyo sababu na kukupa udhaifu wa hiyo sababu/hoja.


Nakukaribisha tuufanye huo mjadala hapa sasa hivi.

Hakuna haja ya kutumia lugha kali wala ya maudhi... tujadili tu kama watu tunaopeana ilmu. Karibu chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya majibu ya kikomavu sana, haina haja ya kujibu povu kwa povu bali povu kwa hoja[emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…