B Baba mtata JF-Expert Member Dec 6, 2012 280 40 Dec 8, 2012 #1 Heshima wakuu Naomba mwenye uelewa kuhusu masuala ya ujasiriamali mana nasikia kila siku vijana tuwe wajasiriamali lakini sijapata elimu kuhusu ujasiriamali kwahiyo mwenye uelewa hata kwa maana tu ya neno ujasiriamali na sifa zake
Heshima wakuu Naomba mwenye uelewa kuhusu masuala ya ujasiriamali mana nasikia kila siku vijana tuwe wajasiriamali lakini sijapata elimu kuhusu ujasiriamali kwahiyo mwenye uelewa hata kwa maana tu ya neno ujasiriamali na sifa zake
CONSULT Senior Member May 8, 2011 194 199 Dec 9, 2012 #2 Ujasiriamali ni tabia ambazo mara nyingi wanakuwanazo MATAJIRI, Pitia hii thread inaweza kukusaidia https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/251157-hivi-mjasiri-amali-ni-nani-hasa.html https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/253648-what-is-entrepreneurship.html
Ujasiriamali ni tabia ambazo mara nyingi wanakuwanazo MATAJIRI, Pitia hii thread inaweza kukusaidia https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/251157-hivi-mjasiri-amali-ni-nani-hasa.html https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/253648-what-is-entrepreneurship.html