UJASIRIAMALI: ..naanzisha duka la "mtumba"..

UJASIRIAMALI: ..naanzisha duka la "mtumba"..

Nilikuwa mcheza shoo wa Pepe Kale enzi hzo.
Kwa hyo yale mapensi nyanya ya kazi na misulupwete ya kale ndo ninayo.
Afu kama kawa,nilimuibiaga bosi wangu PK, nguo zake.
Sa ndo naziuza.
nguo za marehemu? Lol
 
Njoo uchukue hapa kuna belo kama tano na hela ya usafi ntakupa.
 
.
Preta angalia huko kny kabati nianze kazi mara 1, hata za 'bi.ki.ni' zinapokelewa!

Last week tu nimesafisha kabati yangu........ulichelewa........nilikuwa na vitenge na kanga za kutosha..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom