Msuyar Jr
Member
- Feb 1, 2017
- 35
- 11
Habarini ndugu zangu...
Nna wazo moja la kijasiriamali ambalo litawanufaisha wahutimu wote waliomaliza kozi za ualimu. Kwann wasiungane kikundi kidogo cha wahitimu wakautengeneza App yao ya Tuition center wakafundisha ngazi zote kuanzia msingi mpaka Advance. Then wahitimu watoe elimu ya ziada kwa wanafunzi kupitia hiyo App. Kwa wasiyokuwa na uwezo wa kumiliki smart phone wafumdishwe kawaida darasani....
Tuboreshe ufikitiaji wetu ili kujikwamua kiuchumi
*Msuyar Jr