Ujasiri ni.....

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,562
Reaction score
8,002
1.Ujasiri si kuzuia moyo usidunde,ni kumuonesha adui yako huogopi.
2. Ujasiri ni kukemea maovu ya serikali huku ukitumia ID halisi(kama mimi).
3. Ujasiri ni kujitahidi kuongea kwa confidence wakati uko na wenzako katika bench la kusubiria kuingia kwenye interview.
4. Ujasiri .......endeleza
 
Ujasiri ni kufanya jambo ambalo wengine hawawezi na lina madhala kwako ukilifanya...
 
Ujasiri ni kugonga mke wa mtu nyumbani kwake.....
 
Ujasiri ni kumtongoza bosi wako(wa kike)......
 
ujasiri ni kukimbia unais jambo la hatari na kurudi unapois ni upuuzi kufanya hivyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…