palvinus dentalis
Member
- Sep 27, 2021
- 12
- 9
Hello salama wakuu natafuta vijana wenzangu tuunde kikundi kwa ajili ya kufanya shughuli za ufugaji kama Kuku au Nguruwe n.k , kwa walioko mkoani Mbeya ni bora zaidi ."tukiwa na umoja ni rahisi kufanikiwa" karibuni