Ujapigwa dyudyu unataka zawad ya valentin÷ !!! HOW

Ujapigwa dyudyu unataka zawad ya valentin÷ !!! HOW

Hiyo nauli yako Bora ujifanyie shopping Haina maana yoyote kwangu.
Najua haina maana kwako lkn si ndio mapenz yenyewe ya bongo mtu kuja nauli anataka kuongea nae vocha anataka yaan hii bongo wanaume wote wakiwa km mm sijui itakuwaje
 
Sipendi wanaume wanaolia lia tafuteni hela uko
Kwan nan analia hapa hela ni mpango mzima hapa mjin kuna mafala juz yalitaka kujitia mapendeshee waliambulia ushuz tu
 
Mapenzi ya bongo ukimtumia nauli na ya kurudia,ukitaka kupiga utume vocha na simu upige wewe mwenye kutoa vocha hahahah
 
Nitumie namba kule nikutumie mpesa ufurahie Valentine yako, sio vizuri mtoto mzuri ukakosa zawadi kwenye siku hii muhimu.
Kumbe uogopi mzinga? Mzinga wangu sio wa kitoto kimbia mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom