Ujanja wote lakini simuelewi nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujanja wote lakini simuelewi nisaidieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chavka, May 5, 2012.

 1. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Natumai muwazima wanajamii. Ila kuna kitui kimoja nipo nacho chuo sikielewi kihivi. Nikiwa mbali nacho kinanitafuta kwenye cm na kina tuma sms nyingi sana pia twaweza kujadili mambo mengi hata yakimapenzi but tukionana ananikwepa kuzungumza kihalisia. Mm ni raisi wachuo yy katibu mkuu. Lkn wakati na dat nilimwambia naongeanae kama mwanachuo na sio kama rais na nilimpa uhuru wa kukubali au kukataa. Na kabla sija fikiria kumtokea aliwahi kuniuliza swali la kunishangaza sana kama ninauhusiano na mdada wa darasa langu na akajijibu mwenyewe maana alidai walikuwa wana jadiliana kantini na wenzake.
  Sielewe anataka nn kweli ananipenda? Then kwann ananikwepa
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Swali je una feelings za mapenzi kwake?
  If the YES, mtokee kwani anaonesha dalili kubwa ya kukupenda (kukukosa pale ambapo uko mbali naye)

  Kama No, then make it clear kuwa you are not interested ili asiendelee kuteseka (usimtokee kwa kumuhurumia)
  Heri kinga kuliko tiba.
   
 3. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kiukweli nampenda tena sana. Ila kinacho nishangaza ni hali ya kunikwepa tena. Naweza mwambia tuonane muda flani then akapotea asije ukimuuliza anajibu nilisahau akiwa mbali anaomba msamaha kwamba hatarudiatena. Sasa chaajabu jana kanipa taarifa kafiwa na mjomba wake nikamwambia leo nitakwenda kakataa nisiende tutaonana jumatatu chuo
   
 4. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  mwanaume ni kiongozi na wewe ni kiongozi wa chuo unashindwa kutambua hilo kama wewe ni kiongozi ,
  nnichoona mimi wewe unatanguliza heshima na inawezekana kuna kitu amekuzidi either mwaka miaka au ushawishi wa maamuzi au kipesa ndio maana unangoja yeye amalize kwa 90% wewe ujilie tu mzigo .
  Unesha nia usingoje atawale hisia
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Piga moyo konde, usiende naye papara ila muonyeshe kila dalili kuwa unampenda uwapo karibu naye. Huyu anawasiwasi akikubali mapema utamuacha/utamchoka huko mbeleni kwa hiyo nenda taratibu. Wakati mwingine inahitaji busara kujua nini cha kufanya, kwa hiyo wewe mjali tu bila kuvuruga taratibu zote za kuwa naye ila kuwa mwangalifu pia asije kuwa anataka mpunga wako huku akiwa na jamaa lake mtaani.
   
 6. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hapana ndugu yangu kiumri mm nimemzidi kiuwezo yy anategemea wazazi mm naendesha maisha yangu mwenyewe si tegemei cha mtu napia ktk maisha yangu nimejiwekea kuto taka cha mwanamke sababu najua mwishoe ni dharau na kejeli. Na kwake mm nampenda tu na nimemwambia anichukulie kama mwanachuo wa kawaida na sio kiongozi wa chuo na nimempa uhuru wa kuchagua. Ninacho shindwa kufahamu kwake nijinsi yatabia yake anapenda kuzungumza kwenye simu kuliko tukiwa pamoja na akiniona utakuta ananikwepa najaribu kumweka sawa lkn ananikwepa. Japo ktk cm anasema ananipenda tukionana ananikwepa ndio kinacho nishangaza mm? Unajua waweza kuwa mjanja lkn ukakwama kwa mambo madogo sana ndio nilivyo mm
   
 7. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Hivi aliyesema mapenzi yana wajanja ni nani ?
  maybe hapo ndio umekosea kuleta ujanja ujanja kwenye mapenzi..

  just be yourself, take time and let it flow.., don't complicate the uncomplicated issue..,
  (tayari mpo karibu your moves or her moves will determine kama mtaingia kwenye next level..)
   
 8. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hilo nalo neno ndio nafika wakati nashindwa tambua na kikubwa ninacho ogopa asije kuwa kanipenda kulingana na madaraka nilionayo, na mm sijampenda kwakuwa ni katibu mkuu bali nimempenda kulingana na sifa nilizo mwonanazo tangu awali. Ahsante nitafanyia kazi ushauri wako
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  anza wewe kumwambia kuwa unafeelings naye kisha uone responce yake
   
 10. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimesha fanya hivyo na akanijibu kwanjia ya cm but tukikutana hunikwepa kuzungumza na mm sijui anafikiri nn na wala sijajua anataraji nn. Mm kwake siko kwaajili yangono bali nataka kusoma akili yake juu ya mtazamo wa kimaisha ya baadae nijue kama nimtu sahihi au. Lkn yy hunikwepa kuzungumza nami
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  you are a man, look for the perfect position ya kuweza kuwa naye ili umjue. usitegemee eti umwite kantini au uende rum kwake kuongea naye. mpangie out mahali pa kawaida tu ili uongee naye umsikie usikimilie kulaumu.
   
 12. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Oohk huenda ndipo ninapo kosea m
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Jamani mwanamke aibu!
  kama ulivyoshauriwa, nenda naye taratibu. Ila bahati mbaya sikujaliwa aibu, napenda mdada akiwa na aibu ya ukwelii sio ile fake!
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mnategeana au mnaogopana kuambiana ukweli.

  Hii inatokana hofu ya kukataliwa.
  Kila mmoja anawaza akikataa itakuwaje? Itakuwa aibu? Mnapoteza urafiki?
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Nikwambie kitu, nilikuwa nascrol from chini, nikasoma post yako, nikai like while wondering who could that be, and guess what? My guess was right!
  Huwa naikubali most of ur michangos
   
 16. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  ha ha haa am really flattered and thanks Kaunga the feeling is mutual nakukubali sana tu michango yako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Uko mwaka wa ngapi mheshmiwa rais na una umri gan?
   
 18. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mtokee usiweke appointment nae kokote mtakapopata wakati wa faragha...
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  someni mapenzi mtayakuta tu.....
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Umeshazungumza nae kuhusu hilo swala la yeye kukukwepa??anatoa sababu gani ya msingi??
  Muweke karibu practicaly sio mambo ya kuzoeana kwenye simu only..
  Pangeni apointment ya kueleweka ili mzungumze face to face..
  Kama you truly love each other then love will take the way,ukiona imeshindikana ujue it is never meant to be..
   
Loading...