Ujana sasa basi natafuta mchumba/mke mwema.

Ujana sasa basi natafuta mchumba/mke mwema.

LWITIKO LWITIKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
118
Mimi ni kijana umri wangu 28 nahitaji mke kwayeyote anaejiona kua ana sifa na vigezo vinavyomfanya astaili kuitwa mke ajitokeze tujenge familia umri wake miaka 21 mpaka 24 yrs awe ni mtu mwenye kujituma muelewa na mwenyeuwezo wa kuzikabil changamoto za maisha ya ndoa na kutimiza wajibu wake ipasavyo. Binafsi sijawahi kuoa sina mtoto sinywi pombe wala sivuti sigara. No yangu 0658842099 sms zote zitajibiwa pia ntapenda atoke nje ya MBEYA nilipo mm
 
Leka bhise...keta balipo abalindwana banunu itolo nkati mumumu!!
 
mke mwema anatoka kwa bwana, subiri kwanza wapewe talaka utapata mke mwema. Kaka naona huku sio mahali pake nenda katika forum ya LOVE CONNECT huna hata haja ya kutangaza, unachagua tu, ngozi ziko kibao
 
LOVE CONNECT ndio ipo wapi?
 
Sawa ni tangazo ila la namna hii duu umekosea njia labda ungepeleka kwenye love connect mkamalizane nao ila hata hivo usipende kurahisisha mambo kwani mtaani huoni wanawake? Au kutongoza shida?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom