Ujana raha sana

hahahaha huu uzi ni mtamu
sana fanya mpango umalizie
ikawaje asubuh
 
Huo siyo ujana. Hizo ni nguvu za pombe. Kwa maana hiyo nae huyo unayemwita mpenzi wako ataenda kwa rafiki yake wataanzisha hayo hayo na mwisho kupigwa mashine kirahisi rahisi.
 
mkiugua tezi dume mnaanza kulalamika.
usizini
 
Katika uzi huu najaribu kuilazmisha akili iamini haitaki kabisa yaan hii nahis ni ya kutungwa endelea kutudanganya
 
Hii kama bongo movie vile- portraying the unreality things
 
,malisa stori buana...

hiyo story kidogo iendane na yangu ambayo ni realy story ila skugonga japo wao walilainika na kujiachia mwaa.
mpaka leo hawananga hamu namimi,kwani niliwanawa na kupiga dryhumping usiku kuja.
 
Katika uzi huu najaribu kuilazmisha akili iamini haitaki kabisa yaan hii nahis ni ya kutungwa endelea kutudanganya

inatokea sana,kuna wakati mi hushangaa ile self control nilikua naitoa wapi licha ya wakati mwingine kuwa kilaji kimekolea kichwani.
ila hakuna kitu nimekua nikikiogopa kama HIV asee
 
Mambo ya bongo movie haya lazima jambazi awe amevaa miwani nyeusi,siku nyingine usirudie kuleta story nyepesi katika hili jukwaa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…