Mkuu anaiogopa kwa nn wakati ndipo alipopata video ya kumshtaki kamanda Lwax?Si mpigie simu Kova ukamjulisha juu ya hilo. Hujui kuwa Jamii forums Kova hataki kuiona au kusikiliza ushauri,isitoshe Mbona simu zake zipo kila kituo jamani
Kuna kundi la majambazi limeibuka hivi karibuni na kutikisa maeneo ya Goba mpakani na Makongo juu..majambazi hayo yalikuwa takribani ishirini, kumi wakiwa ndani na kumi nje. Ndani ya wiki moja matukio ya aina hiyo yametokea Mara mbili kwa Watu ambao ni majirani. Kundi hili linavamia kwa kulipua mageti ya grill kwa baruti na kuingia ndani hasa mida ya usiku wa manane. Tunaomba Kamanda Kova usikie kilio hiki tupate patrol wakati tukisubiri kituo cha polisi kikijengwa Goba. Naomba kuwakilisha hoja!
KImbiza mwizi men. Wewe badala ya kukimbiza mizi hadi ukamate kwa mkono wewe unakimbilia kuposti kwenye mtandao huku ukimwacha mwizi akikimbia?Kuna kundi la majambazi limeibuka hivi karibuni na kutikisa maeneo ya Goba mpakani na Makongo juu..majambazi hayo yalikuwa takribani ishirini, kumi wakiwa ndani na kumi nje. Ndani ya wiki moja matukio ya aina hiyo yametokea Mara mbili kwa Watu ambao ni majirani. Kundi hili linavamia kwa kulipua mageti ya grill kwa baruti na kuingia ndani hasa mida ya usiku wa manane. Tunaomba Kamanda Kova usikie kilio hiki tupate patrol wakati tukisubiri kituo cha polisi kikijengwa Goba. Naomba kuwakilisha hoja!
Kituo cha polisi hakitasaidia kitu, sisi gongolamboto tuna kituo cha polisi ajabu wizi unatokea hapa mazizini unapiga simu polisi wanakuja dakika tano baada ya majambazi kuondoka. Yaani shida tupu. Maana watajenga kituo cha polisi lakini kitakuwa hakina gari, mara mtaambiwa hakuna askari wa kutosha, yaani ni taabu tupu. Tanzania, suala la ulinzi na usalama ni tatizo kubwa. Sijui tulete malaika kutoka mbinguni aje asaidie?Mkuu naunga mkono hoja,
hali siyo nzuri kuna makundi ya uvamizi yameibuka Goba,tunamtaka Mbunge wetu Mnyika aje atusaidie kuhamasisha ujenzi wa kituo cha polisi Goba,
maeneo yanayofuga wezi ni kwenye POOL,na maeneo ya kamali hapa GOBA.
Mnanitisha nilitaka nunua kiwanja goba kumbe siyo sehemu salama ya kuishi
Hahaha...kwa hiyo unahofia watakupora hadi kiwanja au?
Kuna kundi la majambazi limeibuka hivi karibuni na kutikisa maeneo ya Goba mpakani na Makongo juu..majambazi hayo yalikuwa takribani ishirini, kumi wakiwa ndani na kumi nje. Ndani ya wiki moja matukio ya aina hiyo yametokea Mara mbili kwa Watu ambao ni majirani. Kundi hili linavamia kwa kulipua mageti ya grill kwa baruti na kuingia ndani hasa mida ya usiku wa manane. Tunaomba Kamanda Kova usikie kilio hiki tupate patrol wakati tukisubiri kituo cha polisi kikijengwa Goba. Naomba kuwakilisha hoja!
No nahofia usalama wangu kwani nikinunua kiwanja nitajenga and i think u know what next,btw niliona unaniulizia kwenye sred flan,nipo jukwaani sema am too busy kuonekana hapa jamvini most of the time