Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,078
- 15,061
Ninatumia ka blackberry kangu niliweka service ya mwezi tokea 28.07.13 cha ajabu ilivyofika tarehe 24.8 wakakata nikareport tatzo kwao tokea siku hiyo wananiambia wanashughulikia tatzo kila siku...service ilivyoisha nikaweka tena tarehe 29.8 ila mpaka leo sijawahi access net ya aina yeyote....
Maajabu niliyokutana nayo juzi simu yangu ilikua na 1GB na 35000 nikaamua kutumia line kwenye modem ku browse kidogo nikazima all updates kwenye laptop nkatumia kama dakika 30 hv jana naamka asubuhi simu ina shilling 5 tu toka elfu 30 duuh nkaona poa ngoja nijaribu kitu nkaweka 100MB kwenye line tena ile naichomeka kwenye modem nka connect dakika 15 hazikuzidi bando kushney....
hawa voda wamekua majambazi siku hizi uhuni uhuni na wahudumu wao wanaongea kwa nyodo...leo naenda mlimani city kuwakabidhi line yao na nahamia zantel kabsa shenzi hawa