Ujambazi Kariakoo

ndugu jaribu kuandika kiswahili fasaha. Acha kuharibu lugha yetu adhimu ya kiswahili la sivyo hamishia kule kwa wanafunzi
Sawa kbs mkuu maana mimi nimetumia nguvu nyingi sana kumwelewa huyu mleta mada, nilitaka kuacha maana niliona inanipotezea muda lkn nikajikaza mpaka nimemaliza kuisoma. Cha msingi, kama hawezi kuandika kiswahili fasaha arudi darasani kwani elimu haina mwisho
 

Bila shaka utakuwa hawa form four wa shule za kata na umemaliza mwaka jana hawa mlopata ziro wote
 
Jamani msimshambulie motto wetu huyu, hili ni jibu tosha kuwa Elimu ya Tanzania ni majanga (hapa ni kwa shule za serikali zaidi). Kwa hivyo waziri wa elimu fanya juhudi kuboresha elimu. Ni aibu hii kabisa.

Yaleyale,Motto ndo nini na wewe.
 
teh teh teh harafu mnasema kuwa serikali imewafelisha.
kwakweli inabidi wazazi tukazane sana kuokoa hiki kizazi yaani huyu ndio yupo mbioni kwenda chuo.tutegemee nini toka kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…