Huu siyo ujamaa huu ni gonjwa la kujitakia na wala siyo starehe na kama ni starehe basi ni chumbani tuu na kila kukicha kuna tangazwa magonjwa mara kipindu pindu mara mafua ya ndege ibola ukimwi sasa hiyo ni starehe au kujipa adhabu au hiyo pombe ya mofat yaani ya dezo no tusi