squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,194
Kitimoto waislam washika dini wanakulaSio uislam hio ni shida ya dini nyingi duniani,tena Bora uislam kwenye IDD tu,Kuna dini wanatumia kitabu kimoja lakini kuna kundi wanaruhusu kunywa pombe, lingine wanakataza kula nguruwe,lingine viongozi wao hawaoi(maajabu hayo).......
Aiseeeeeee,akirudi niambieKitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe
Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam
Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa
Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua
Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
Sio uislam hio ni shida ya dini nyingi duniani,tena Bora uislam kwenye IDD tu,Kuna dini wanatumia kitabu kimoja lakini kuna kundi wanaruhusu kunywa pombe, lingine wanakataza kula nguruwe,lingine viongozi wao hawaoi(maajabu hayo).......
Me nakualika leo[emoji4]Kwahiyo mialiko Leo kesho?
SAHIH MUSLM 2749 ni reference ya kuruani hiyo?Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).
Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?
🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo ukila idd leo unavaa suruali fupi doh.Wewe ni wale wanaovaa suluali fupi? 😀 😀
hatujui.Kwahiyo mialiko Leo kesho?
Ndio[emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo ukila idd leo unavaa suruali fupi doh.
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe
Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam
Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa
Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua
Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
Msitufanyie hivyohatujui.
Ndio