hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na kuusoma Uislamu niligundua ulijengwa juu ya
1.Wasabai (As-Sabi'un).,
2.Mila na desturi za waarabu,
3. Vitabu vya apokrifa vya wakatoliki (asilimia kubwa ya visa vya Quran ndio vipo kwenye hivo vitabu ),
4.Ngano mashairi ya Waarabu
Leo tuangalie kwa uchache kuhusu Wasabai ,
Kwanza Wasabai walikuwepo kabla ya Uislamu, na walijulikana sana katika maeneo ya Mesopotamia, kusini mwa Iraq (mji wa Harran, kufikia Basra).
Imani na ibada za Wasabai nyingi zilifanana kabisa na zile zilizokuja baadaye kwenye Uislamu. Hili si jambo la kukisia, bali linathibitishwa na vyanzo vya kihistoria na hata ndani ya Qur'an yenyewe.
Swala Tano kwa Siku (Sala)
“Wasabai walikuwa wakiswali mara tano kwa siku, wakati maalum, wakielekea upande maalum, wakisali kwa kimya au kwa sauti, huku wakiwa katika hali ya usafi.”
– Encyclopedia of Religion and Ethics, Vol. 11, p. 664
Uislamu pia una swala tano kwa siku: Fajr, Dhuhr, Asr, Maghrib, na Isha – ikiwa ni muda na mpangilio sawa kabisa na Wasabai.
Wudhu (Kutawadha)
“Before prayer, the Sabians perform ablution (wudhu) by washing the face, hands, mouth, feet and ears with water... a symbolic purification to meet the divine.”
– E. S. Drower, The Mandaeans of Iraq and Iran, p. 50
Uislamu unafundisha wudhu kwa njia ileile: kunawa uso, mikono, kusukutua, kupangusa kichwa, na kunawa miguu.
Funga ya Mwezi
“The Sabians had a holy month of fasting, in which they abstained from food and certain acts from dawn till dusk.”
– M. G. Watkins, Religious Practices of Ancient Mesopotamia, p. 112
Uislamu una funga ya mwezi mmoja (Ramadhani), ambapo waumini hufunga toka alfajiri hadi machweo, sawa kabisa na taratibu za Wasabai.
Kuelekea Kibla Maalum
“Early Arab tribes, including the Sabians, directed their prayers southward toward Yemen, or in some cases northward to Harran, depending on local traditions.”
– Philip Hitti, History of the Arabs, p. 133
Waislamu wa awali kabla ya kuamriwa kuelekea Makka, walikuwa wakiswali kuelekea Bayt al-Maqdis (Jerusalem), na baadhi ya makabila ya Arabuni walikuwa wakielekea Yemen – kama Wasabai.
Adhana (Wito wa Sala)
“Sabian temples had a ritual call to prayer that echoed across towns at specific times of the day.”
– C. J. Gadd, Ideas of God in Ancient Religions, p. 89
Waislamu hupiga adhana kwa maneno maalum kabla ya sala, mfumo wa wito wa ibada uliokuwa tayari ukitumika kwa Wasabai.
Imani ya Mungu Mmoja – Alaha / Allah
“The Sabians believed in one supreme God called 'Alaha', a linguistic ancestor to the Arabic 'Allah'.”
– E. S. Drower, The Secret Adam, p. 73
Waislamu humwamini Allah, jina linalofanana kabisa na Alaha la Wasabai. Asili ya neno hili inatoka lugha ya Kisiria (Syriac) na Kiaramu.
Kufanya Ibada katika Nguo Takatifu Nyeupe
“Sabians wore white robes when engaging in holy rituals and prayer, signifying purity.”
– S. H. Hooke, Middle Eastern Mythology, p. 97
Katika ibada kama Hajj, Waislamu huvaa nguo nyeupe zisizo na mshono (Ihram) – mfano wa nguo takatifu za Wasabai.
Malaika, Pepo na Moto wa Jehanamu
“The Sabians believed in angels, heaven, and a fiery place of punishment – concepts later echoed in Islam.”
– J. P. Peters, Religious Beliefs of the Babylonians and Assyrians, p. 211
Uislamu unazungumzia malaika (Jibril, Mika’il), Pepo (Jannah), na moto wa Jehanamu (Jahannam) – imani zilizokuwepo pia kwa Wasabai.
Kuzingatia Maji Takatifu
“Water was central to Sabian rituals, both for physical and spiritual cleansing.”
– Drower, Water in the Mandaean Religion, p. 22
Uislamu unasisitiza wudhu, ghusl, na matumizi ya maji katika ibada – mfano wa desturi ya Wasabai.
Uislamu, kama mfumo wa dini, ulikusanya taratibu nyingi kutoka kwa dini za kabla yake hasa Wasabai
Muhammad alikopi taratibu nyingi za Uislamu kutoka dini nyingine ,
“Islam is not entirely a new religion b
ut a culmination and reorganization of previous Semitic traditions, particularly the Sabean structure of worship.”
– Alfred Guillaume, Islam, p. 15