Uingizaji sukari vs uingizaji mayai, tuache unafiki

mkuu
idoyo, nimekua ktk poultry business since 2005, na hatujawahi kulalamika na hata ktk vipindi Vya milipuko ya mafua ya ndege tulitii serikali na kufunga mashamba. Hivo sio new business na silalamiki. Ni wajibu wa serikali
 
mkuu
idoyo, nimekua ktk poultry business since 2005, na hatujawahi kulalamika na hata ktk vipindi Vya milipuko ya mafua ya ndege tulitii serikali na kufunga mashamba. Hivo sio new business na silalamiki. Ni wajibu wa serikali
elewa point yangu: poultry industry imekuwa vibrant recently, sijamaanisha kwamba haikuwepo.
 
Mna chama cha wafuga kuku;wazalisha mayai? kimesajiliwa?
Hamjachelewa, nnaweza jenga hoja kwenye mamlaka husika na kwa kuanzia mtafuteni Masako wa ITV anakipindi chake,you can set the agenda na kumpatia,muhimu nanyi kuwa na facts na hoja za ushawishi kiuchumi zaidi.
 
kuku hawezi kutaga wiki 9 mkuu na hap tunazungumzia juku wa mayai sio wa nyama. However ni kweli inabidi kua halima market segmentation. Ushauri Mzuri
I am not in the chicken business ndio maana nikauliza where do the competitor beat you lots in margins. kwa sababu icho ndio muhimu vinginevyo mtu awezi kutoa mayai huko halipo akauza cheap zaidi kama yanaghrama sawa its just logic to make profit you got to cover unit cost there after it depends on your pricing strategies, business goals and where you sell them (that just marketing in its simplest aims).

Cha muhimu tuongeze bidii za kuwa creative lakini si kuomba serikari kusaidia kila mara ndio maana watu awaendelei kuna mshakaji wangu alikuwa bar siku moja na mjomba wake anasema baada ya kuachana anampigia simu saa sita za usiku kulikuwa na container lake linatakiwa kutoka bandarini inabidi likashushwe kariakoo hivyo anaomba ampitie walifuate kusimamia.

Jamaa akamwambia wewe si wanakujua kama clearing pale na makaratasi unayo yote ya ulipizi, amwambia ndio. Jamaa anauliza sasa sisi tukafanye nini usiku. Mshakaji anasema alichofanya kumpigia simu tu dereva apitie makaratasi akamwambie na yeye ampigie simu mtu wa bandari kila kitu kikafanyika on teleconference ndio ujue asilimia kubwa ya wafanya biashara wa tanzania particlulary those in their fifties yaani wamezoea routine kiasi kwamba ubunifu hakuna. That needs to change kwakweli kama tunataka maendeleo lazima tujifunze ushindani maana kutoka ndani umekosekana kwa muda mrefu, bora waje tu (sisemo ovyo ovyo bila ya mpangilio serikari lazima ije na sera imara pia za kuchochea maendeleo na ajira).
 
elewa point yangu: poultry industry imekuwa vibrant recently, sijamaanisha kwamba haikuwepo.
Mkuu Nathani wewe ndio umeanza kuifuatilia hivi karibuni, iko vizuri kitambo
 

Am down with you mkuu,Watanzania ni wabnafsi,wenzetu wanafanikiwa kwa kuunganisha nguvu (mitaji,technology nk) ili kupambana na nguvu ya soko na taasisi husika.
 
Am down with you mkuu,Watanzania ni wabnafsi,wenzetu wanafanikiwa kwa kuunganisha nguvu (mitaji,technology nk) ili kupambana na nguvu ya soko na taasisi husika.
Swala sio ubinafsi, swala ni market entry strategy and the type of organization, hata nchi za wenzetu tena za kibepari kuna kuna co-operative organizations.

Ni wadau tu wenye muono sahihi kukaa chini na kutatua changamoto za co-operative management especially control na jinsi ya kulipana faida hili kufanya kazi kwa pamoja kama swala ni kuunganisha nguvu at the end of the its the mission and the strategy you want to execute.
 
 
mmewahi jiuliza kwanini mayai ya kenya yapo cheap?.
unajua hawa wenzetu wanaangalia Selling of Priduct hawaangalii uzalishaji wa hicho chakula kuku
kupanda bei Kwanini dagaa mifupa pumba za alizeti wanauziwa 39,000 mpaka 40,000/=
Madawa ya hao kuku
chanjo za hao kuku
Wakati wazalishaji wengine wanakitengeneza hicho chakula wao wenyewe ndi maana bei inakuwa chini
na kwa vile demand ya mayai ni kubwa wanashuhsha bei ii waweze kuuza kwa wingi
  • ukikubaliana na bei za wafugaji wa kuku ni kila siku zinapanda na ndio maana wengi tunaacha kula chips mayai ya kizungu bora nikanywe chai au uji mchana nikishishia na soda siku itapita
Kusema ukweli Matumizi ya mayai yameshuka sana na mm siyatumii kulinganisha na sukari inavyohitajika na Clouds leo asubuhi nimewasikia lakoni sisi wakulima wa Mahindi tumekwamishwa uuzaji wa mahindi huko Kenya (miaka 3 sasa na Waziri Maghembe kuwa tunasababusha njaana Mizengo pinda akakomelea kabisa sasa) yanatuozea, wakati yanahitajika sana kwenda hadi Somalia na Ethiopia, bado huko Tunduma
huko Babati na Handeni yameshaoza kwa kuota tena lakini tukiweka hasira kwa ajili ya mikopo tuliyokopa tutaeleweka kwa kuitukana Serukali ambayo ni sisi wenyewe

wazo kuu ni kubadili Biashara si kuingoja kwani umri nao unaenda na vinazuka vibiashara vingine vipya
Hapo ni kuzalisha hicho chakula jirani wakiiga unapitia mbolea zao na kuzalisha shamba la minanasi kwa mkopo kwani si wote watakaotoka kwa biashara ya kuigana
 
Mkuu tumejaribu kukutana Mara kadhaa pale UDSM, however the turnout was more than dis pointing . Yet we can't negotiate prices za vyakula Vya kuku ilihali eggs price inakwenda chin daily

Mkuu, jaribu kumtafuta mbunge yeyote mwenye ushawishi aweze kupush ishu yenu bungeni.
 

Tunatofautiana sana uelewa....

...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…