Uingereza kujitoa Umoja wa ulaya na athari zake kwa Tanzania

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
845
Assalam Aleykum,
Ikiwa leo ni siku ambayo Uingereza inapiga kura ambayo itaamua kujitoa ama kubakia katika umoja wa Ulaya, ningependa kwa mtaalam wa mambo ya kiuchumi na kijamii atuambie sisi kama watanzania tutaathirika vipi na tukio hili kiuchumi endapo Uingereza itajitoa... Asante
 
Sisi kama watanzania tuna manufaa zaidi kuliko madhara.

Kama wanachama wa Commonwealth, Uingereza itakuwa huru zaidi kufanya maamuzi bila kuingiliwa na EU.
 
Hathari ni kitu gani naomba unieleweshe. Kwenye heading yako.
 
Waiingereza wanaotaka kubaki Ni wale matajiri ila kwa choka mbaya Kama watu WA Bristol City hawataki kusikia upuuzi wa EU.
 
Back
Top Bottom