Uimara wa EPSON L382

james marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
208
Reaction score
167
Jamani nahitaji kujua kuhusu uimara kuhusu epso l382 je inadumu,vipi utendaji kazi wake uko poa? Kabula sijainunua nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafanya kazi vizuri tu ila speed ni slow ukilinganisha matoleo ya L800, 805 nakuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazini kwetu tunatumia hii 382 imeshindwa kuprint vyeti. Inaprint karatasi tu. Kama matumizi ni makubwa bora akachukua hizo ulizomshauri ingawa bei zake zimesimama
 
Tatizo lake huwa hazina nguvu za kuvuta karatasi ngumu mfano hizo za vyeti mithili ya manila na karatasi za picha double sided,mara moja moja unaweza kubahatisha ikavutwa ikaprint ila sio mfululizo lkn kwa karatasi za kawaida haina shida
 
Zina uzito gani hizo karatasi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…