Uimara wa EPSON L382

Uimara wa EPSON L382

james marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
208
Reaction score
167
Jamani nahitaji kujua kuhusu uimara kuhusu epso l382 je inadumu,vipi utendaji kazi wake uko poa? Kabula sijainunua nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa haya mambo
download.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lake huwa hazina nguvu za kuvuta karatasi ngumu mfano hizo za vyeti mithili ya manila na karatasi za picha double sided,mara moja moja unaweza kubahatisha ikavutwa ikaprint ila sio mfululizo lkn kwa karatasi za kawaida haina shida
 
Zina uzito gani hizo karatasi mkuu?
 
Back
Top Bottom