Uimara wa CCM

Uimara wa CCM

KHALFANI 86

Member
Joined
May 16, 2020
Posts
14
Reaction score
24
Kwa haraka haraka ukiangalia vyama vya upinzani vinakwama wapi utawaangushia lawa viongozi wa vyama vyao ,hii sio sahihi kabisa udhaifu unaoendelea kupatikana kwenye vyama hivyo unatokana na wanachama wenyewe wa vyama husika.

Leo hii unawaza kuhusu kutokea chama kingine kikubwa cha upinzani ambacho kitadhihirika uchaguzi mkuu wa 2020 ambacho kitakigaragaza chama kikuu cha upinzani kilichopo sasa ambacho ni CHADEMA ,Na wengi wanajua huu ndio muda wa kudondoka kwa CHADEMA alafu hao hao walioiunga mkono CHADEMA ndio hao hao watakiunga mkono hicho chama ambacho sintokitaja leo ila kwa wakati Mwingine. Anguko hilo ndio Uimara wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), kawaida ya wanachama wa CCM huwa wako makini na mambo yao kuliko wanachama wa vyama vingine vya upinzani hii ndio siri ya UIMARA wa CCM.

Mfano muda huu wanachama wa vyama vya upinzani wote kwa ujumla wako macho kwenye mambo yanayoendelea CCM kuliko vile wanaangalia chama chao alafu baadae wanaanza kulaumiana Mwenyekiti wa milele akishafanya teuzi zake kuweka watu anaopanga wawepo kwenye nafasi anazoamua yeye. Hapo ndipo CCM inazidi kuimarika kutokana na udhaifu unaovikumba vyama vya upinzani katika kukikimbiza chama hiki tawala chama pendwa na chama kikubwa namba moja Africa na cha pili Duniani.
 
Uimara wa Ccm unakua unaimarika zaidi kutonana na Vyombo vya usalama kuikingia kifua, yaani kutumia nguvu sana, bila ya vyombo vya usalama Ccm ingekua tunaisoma kwenye vitabu kama history
 
CCM NI MAKINI HAIJAWAI TOKEA
Kwenye kulinda makaburi ya familia chache za wanaccm kipo makini sana Ila kwenye ile Vita tuliyotangaziwa mwaka 1961 ya kupambana na umasikini,ujinga na maradhi.Hiki ndio chama cha hovyo duniani,Ni chama pekee kilichoinyima nchi Bora kabisa duniani siasa Safi na viongozi bora matokeo yake nchi hii imekuwa ikigomea nafasi ya mwisho kwenye umasikini kwenye rank za dunia
 
Uimara wa Ccm unakua unaimarika zaidi kutonana na Vyombo vya usalama kuikingia kifua, yaani kutumia nguvu sana, bila ya vyombo vya usalama Ccm ingekua tunaisoma kwenye vitabu kama history
Wakati unawaza kuisoma CCM kwenye vyombo kama msemo wako unatakiwa utafakari kuna chama gani chenye dira ya kweli ambacho kipo tayari kuwa mrithi wa CCM?

Hapo ndipo utabaini ya kuwa CCM inaimarika kwa madhaifu ya wapinzani wake
 
Kwa haraka haraka ukiangalia vyama vya upinzani vinakwama wapi utawaangushia lawa viongozi wa vyama vyao ,hii sio sahihi kabisa udhaifu unaoendelea kupatikana kwenye vyama hivyo unatokana na wanachama wenyewe wa vyama husika. Leo hii unawaza kuhusu kutokea chama kingine kikubwa cha upinzani ambacho kitadhihirika uchaguzi mkuu wa 2020 ambacho kitakigaragaza chama kikuu cha upinzani kilichopo sasa ambacho ni CHADEMA ,Na wengi wanajua huu ndio muda wa kudondoka kwa CHADEMA alafu hao hao walioiunga mkono CHADEMA ndio hao hao watakiunga mkono hicho chama ambacho sintokitaja leo ila kwa wakati Mwingine. Anguko hilo ndio Uimara wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), kawaida ya wanachama wa CCM huwa wako makini na mambo yao kuliko wanachama wa vyama vingine vya upinzani hii ndio siri ya UIMARA wa CCM. mfano muda huu wanachama wa vyama vya upinzani wote kwa ujumla wako macho kwenye mambo yanayoendelea CCM kuliko vile wanaangalia chama chao alafu baadae wanaanza kulaumiana Mwenyekiti wa milele akishafanya teuzi zake kuweka watu anaopanga wawepo kwenye nafasi anazoamua yeye. Hapo ndipo CCM inazidi kuimarika kutokana na udhaifu unaovikumba vyama vya upinzani katika kukikimbiza chama hiki tawala chama pendwa na chama kikubwa namba moja Africa na cha pili Duniani.
Niruhusu nitoe mtazamo wangu kwa moyo mweupe. Naamini kuwa CCM ya leo haiko imara sana kulinganisha na chaguzi za nyuma. Ingawa ni rahisi sana kuona kuwa CCM imewekeza kwa wananchi, lakini ukweli ni kuwa uwekezaji mkubwa umefanywa kwenye vyombo vya dola.

Huwezi hata kidogo kuwanyooshea kidole wapinzani katika mazingira kama yaliyopo ya kisiasa, it was a one way traffic. Ukitaka kujua uhalisia na kupima uimara wa CCM ni mpaka kuweka sawa play ground, hapo ndipo ajisifuye atajisifu kwa haki. Kwa sasa mpinzani amefungwa mikono na ndondi zinaendelea ulingoni, huku mpinzani akisubiri raundi ya mwisho ndipo afunguliwe mikono aweze kufuta vipigo vya raundi zote kumi na moja kwa raundi moja Tu ya mwisho!! Halafu kea UJUHA WA KUSHANGAZA wapinzani nao wanajigamba wana nafasi ya kushinda kwa pointing.

Hii inakupa maana gani? HAKUNA USHINDI KWA WAPINZANI isipokuwa tu kama watashinda kwa knock out, kwamba CCM wasifikie kengele ya mwisho.

“Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.”
— Mathayo 11:12

Upinzani nyoronyoro ni msiba kwa demokrasia.
 
Kwa haraka haraka ukiangalia vyama vya upinzani vinakwama wapi utawaangushia lawa viongozi wa vyama vyao ,hii sio sahihi kabisa udhaifu unaoendelea kupatikana kwenye vyama hivyo unatokana na wanachama wenyewe wa vyama husika.

Leo hii unawaza kuhusu kutokea chama kingine kikubwa cha upinzani ambacho kitadhihirika uchaguzi mkuu wa 2020 ambacho kitakigaragaza chama kikuu cha upinzani kilichopo sasa ambacho ni CHADEMA ,Na wengi wanajua huu ndio muda wa kudondoka kwa CHADEMA alafu hao hao walioiunga mkono CHADEMA ndio hao hao watakiunga mkono hicho chama ambacho sintokitaja leo ila kwa wakati Mwingine. Anguko hilo ndio Uimara wa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), kawaida ya wanachama wa CCM huwa wako makini na mambo yao kuliko wanachama wa vyama vingine vya upinzani hii ndio siri ya UIMARA wa CCM.

Mfano muda huu wanachama wa vyama vya upinzani wote kwa ujumla wako macho kwenye mambo yanayoendelea CCM kuliko vile wanaangalia chama chao alafu baadae wanaanza kulaumiana Mwenyekiti wa milele akishafanya teuzi zake kuweka watu anaopanga wawepo kwenye nafasi anazoamua yeye. Hapo ndipo CCM inazidi kuimarika kutokana na udhaifu unaovikumba vyama vya upinzani katika kukikimbiza chama hiki tawala chama pendwa na chama kikubwa namba moja Africa na cha pili Duniani.
Utakuta wewe ni kijana mdogo tu huna hata miaka 30 lakini unashabikia ccm iliyokuwepo tangu mwaka 1954, chama chenye mrengo wa kizee na kilichofanya Tz kuwa nchi maskini kwa miaka karibu 60 sasa. Ndio maana tunashangaa kwanini hatuendelei wakati hatubadilishi chama tangu 1961!
 
Uchaguzi!
1592575.jpg
76543.jpg
5567.jpg
3456.jpg
12345.jpg
 
Wapinzani wanalalamika kwa nini CCM bara kachukua fomu mtu mmoja.
wanaacha ya kwao wanacheza midundo ya CCM.
 
kwa upinzani wa kujua kutukana tu bila hoja,naamini hata binadamu watakaozaliwa 2035, watakufa(kwa uzee) huku wakiicha ccm madarakani
 
Kwamba ccm members hawa tolei macho yafanywayo upinzani si kweli
 
Back
Top Bottom