Uigizaji ni kipaji na vipaji vipo wapi?

Rayno

New Member
Joined
Apr 26, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Kukuwa kwa tasnia ya bongo move sio jambo lakumtegemea mtu au taasisi ni kutumiya akili tuu.

Sasa hivi watu wanaotumika kweny uigizaji ni wale waliokwisha kuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii na kusahau kumbe kuna Watu wenye vipaji wanaoweza kuinua tasnia hii wako mtaani, na wengin ndo sisi ambao tunatafuta nafasi za kuonyesha tulichonacho bila kupata mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…