Uhusiano

Uhusiano

ila hata me sipendi kwa kweli kwenda na rafiki yangu labda kama kasema niende na rafiki yangu me nakuja mwenyewe ili nikujue vizuri ukinifanyia upuuzi ndo inakuwa mwisho na mwazo hata kama nimekudondokea

Kujitambua na kujielewa kunakukufanya kuwa guru na happy
Hongera miss chaga
 
Wanajamvi naomba kuuliza
kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda
kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na
msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa
mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba atakuja na
mwenzake

Weeee asiyejua AL SHABAB wapo kazini nani?
 
Hahaha wenzako hawaelewi mpenz
May be wanataka sifa kwa marafiki zao

rafiki akisuport me ndo nikubali nina marafiki wengi huwa naishia kuwasikia ma boyfriend zangu na me naishia kuwasikia wa kwao sitaki shida mie
 
rafiki akisuport me ndo nikubali nina marafiki wengi huwa naishia kuwasikia ma boyfriend zangu na me naishia kuwasikia wa kwao sitaki shida mie

Hatukatai kuna outing nyingine unaweza kukuta mmekubaliana kwamba u can come with yo friends so as him u know?but mtu una kidate the u bring a friend o friends aisee bila hata haya dah
Anyway hongera mama the way u treat yo boy he can see the difference
 
thank u sana have a blessed day
 
Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba atakuja na mwenzake

Inatakiwa unakamata huyo rafiki yake hata kama hujamdondokea lkn unampa kitu tamuuu
 
Mingine inakuja na rafiki yake, hajui mfukoni ukoje,inaanza kuagiza vitu vikali, ooh naomba Savana Dry,Smin off mara baby hatujala,mara anaitwa mhudumu tunaomba tuletee kuku mzima na chipsi tatu.Kuna siku nilishamwachwa kwenye mataa nilimwita demu mfukoni nina 30,000/= nikijua itatosha gest ya 15,000/= yeye bia 3 na namtoa na 5000/= yeye akaja na marafiki zake 3,MBONA ALINIKOMAA
 
Back
Top Bottom