Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Duh![emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Wewe mzee unaandika sana aisee!!Umetuvuta wengi kwa usimuliaji wako maridhawa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mzee,Hivi vijana wako wakipita humu hawawezi kufungua codes kweli?

Tunasubiri muendelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi,
Stori hii ni kabla hawajazaliwa,
Kijana wa kwanza alizaliwa 1984,
Mwingine ninayemhisi kama yupo ni yule wa Rose wa Lindi,

Lakini (watoto) hakuna atakayejuwa, labda Rose, na Marry kama wapo humu.

Hamida (wife) anapitia humu na ananifinya mara kwa mara! Ila kimahaba.

James Jason
 
Mwendelezo saa ngapi mzee wetu yani kila muda nachungulia kuona ilikuwaje[emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utatumaliza mkuu!!! Khaaaa, sio kwa tunzi/simulizi hizi. Uandishi wa hiv sijawai kuupata popote, ASEE WEWE NI MKALI[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri mzee! Kumbe na Hamida anajivinjari humu?Safi sana,anasemaje akiona unafukua makaburi ya enzi za 'Ukiwembe' au tayari alikuwa anajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…