Uhusiano wa Ubalozi wa Israel nchini na Uzayuni

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
18,406
16,424
Wakuu haya mambo yanahusiana vipi?

Inamaana Rais aliruhusu kuanzishwa kwa ubalozi wa Israel hapa Tanzania bila kufikiria swala zima la Uzayuni wao?

Utalii kwetu ni muhimu sana zaidi ya wanayoyafanya Waisrael?
 
Jibu lako ni RAHISI sana ambalo nikuuliza pia kwa maswali:
1.Waulize umoja wa falme za KIARABU UAE kwa nini walifanya mazoezi ya KIJESHI (Airforce)/Anga PAMOJA na Israeli. Je hawakujua hayo?
2. Kwa nini nchi ya SENEGAL iliyo na waislam wengi, asilimia 80% INA uhusiano wa KIBALOZI na Israeli? Je hawajui hayo?
Kwa nini Misri ina UHUSIANO wa KIBALOZI na Israeli. Kwani hawayajui hayo?
Ukipata jibu hutakuwa na SABABU ya kuilaumu nchi yetu kuanzisha mahusiano na Israel.
 
mbn kuna nchi nchi za kiislamu zina balozi za israel kwann cc tusiwe nao?
Lengo la kufungua ubalozi wa Israel nchini ni kufanya nao biashara. Hayo mambo ya uzayuni,upalestina na uislam sio ajenda yetu kujihusisha na siasa za mashariki ya kati kama taifa
Wakuu haya mambo yanahusiana vipi?

Inamaana Rais aliruhusu kuanzishwa kwa ubalozi wa Israel hapa Tanzania bila kufikiria swala zima la Uzayuni wao?

Utalii kwetu ni muhimu sana zaidi ya wanayoyafanya Waisrael?
 
Kuna mengi ya ajabu hapo kuhoji kwann kuwa na diplosia ya kimataifa, ni ufahamu, leo ututuki inawachukia wakurdi wakati sisi na waturuki tuna ubalozi
 
Sio waislamu na wapelestina tu, hata wayahudi asili (sephardic jews) wanabaguliwa vibaya na wayabudi feki (ashjenazi jews). Tika kwenye ajira, makazi hadi elimu wayahudi asili wao hupewa makombo baada ya maashkenazi jews kupata cream.
Tunapelekwa huko sasa
 
Back
Top Bottom