Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,664
- 22,844
Kama mapepo yanapenda pahala pasafi si yangekuwa yanakaa kanisani, misikitini, kwa watoto wachanga, wazee ajuza etc.Kuna muislam mmoja aliniambia eti sababu wanawake ni wasafi sana,hvyo mapepo hupenda mahali pasafi
PIa kwann visichana vingi vinavyokuja kufanya kaz daslam vikitokea mikoan huwa vikirud huku mikoani vinarud vikiwa na mapepo