Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,047
Uhusiano wa Kagame na kundi la M23 ambalo limeleta mateso makubwa sana nchini Congo unazidi kuanikwa. Marekani na Umoja wa Mataifa wamemwambia asitishe kulipa misaada kundi hilo. Lakini huyu jamaa ni sikio la kufa. Alishawahi kumtukana Thabo Mbeki - achalia mbali hii ya Kikwete juzi.
Angalia link hii:
BBC News - DR Congo unrest: Rwanda 'recruiting for M23 rebels'
Angalia link hii:
BBC News - DR Congo unrest: Rwanda 'recruiting for M23 rebels'