Je kukata gogo unakula fegi inakuwaje pia?maana wengi nawaona wanapenda kula fegi wakiwa toilet
Mkuu Ngongoseke Fegi inasaidia gogo likatike upesi haswa sigara kali .Jaribu kisha uje hapa unipe Feedback.Je kukata gogo unakula fegi inakuwaje pia?maana wengi nawaona wanapenda kula fegi wakiwa toilet
Mkuu Ngongoseke Fegi inasaidia gogo likatike upesi haswa sigara kali .Jaribu kisha uje hapa unipe Feedback.
Mkuu Mtoto halali na hela Jaribu kisha uje hapa unipe Feedbackya kweli haya doctor?
Mkuu Mtoto halali na hela Jaribu kisha uje hapa unipe Feedback
Mkuu Mtoto halali na hela Acha uoga wewe jaribu mimi mbona nilisha wahi kujaribu kuvuta sigara kali wakati huo inaitwa sportsman nikavuta moja baada ya kuisha kumaliza kuvuta nikasikia hamu ya kwenda kulikata gogo miaka 33 iliyopita nikalikata gogo kiurahisi wewe jaribu kisha uje unipe feedback.majaribio mengine hapana aisee.
Mkuu Abdulhalim You are very funny kuhusu huo Uliberali muulize mkuu Boflo atakujibu mimi sijuwi kuhusu Uliberali.hiyo ni dalili ya uliberali/
Mkuu Mtoto halali na hela Acha uoga wewe jaribu mimi mbona nilisha wahi kujaribu kuvuta sigara kali wakati huo inaitwa sportsman nikavuta moja baada ya kuisha kumaliza kuvuta nikasikia hamu ya kwenda kulikata gogo miaka 33 iliyopita nikalikata gogo kiurahisi wewe jaribu kisha uje unipe feedback.
Mku kabanga Jaribu kutofautisha Sigara kali na Bangi? Bangi sio sigara Bangi ni ulevi au madawa ya kulevya Sigara sio ulevi wala madawa ya kulevya upo pamoja na mimi Mkuu?mkuu mbona umetaja sigara mbili tofauti Sigara kali ni kali ile aina kichungi kama bangi na lizila vile na spotsman nii ya kawaida... Nafikiri ukivuta kali au bangi ndio kubwa inatoka haraka!
Je kukata gogo unakula fegi inakuwaje pia?maana wengi nawaona wanapenda kula fegi wakiwa toilet
Harufu ya kinyesi inasaidia mzuka kupanda unavyo kata gogo.