Uhusiano wa Kipigo na Msisimuko

si wa kuuliza maswali ya msingi kama yale yako

atoe kwanza confession ni nini kilipelekea kusisimka? Alikuwa anawaza nini akisikia mke wa jirani analia kwa kipigo?

Kama anaweza kuambukiza kupitia majibu na huyo daktari atayefanyia diagnosis na prognosis itakuwaje?
 
hapa tuko creatures wa kila aina.

Observe kwa ukaribu utagundua tu
ngoja nichukue my magnifying glass :madgrin:. i wonder if mie nimeshaonekana na people other than u and a handful others!!
 
Mi nadhani labda kile kilio cha mke wa huyo jamaa alipokua akilia alihusisha kilio kile na kilio cha mwanamke wakati storongo inafanya kazi yake
"
Kuna wanawake wengine huwezi kutofautisha kilio cha kipigo na cha storongo
"
Mlio wao ni mmoja tu!
 
Na sisitiza, imenitokea hata mimi nashangaa, kilio cha kipigo kimenipagawisha, moyoni naomba huyo dada aliyekuwa anapigwa anisamehe tu kwa mimi kuchukulia kipigo chake alichopata, kwangu kugeuka starehe.
 
Na sie tunasisistiza, wewe ni.mgonjwa wa akili! Tafuta matibabuuuuu!
Na sisitiza, imenitokea hata mimi nashangaa, kilio cha kipigo kimenipagawisha, moyoni naomba huyo dada aliyekuwa anapigwa anisamehe tu kwa mimi kuchukulia kipigo chake alichopata, kwangu kugeuka starehe.
 
Ha ha ha ha dah nimecheka we jamaa una matatizo aiseeh,kwani mjomba una muda gani sasa hujatumia?kipindi kirefu kutofanya nayo inachangia kuamsha midadi pasipo weza kuzuia.ingawa inashangaza kidogo kwako inakuwaje mwanamke apigwe mingumí na makelele anayotoa ikuletee hisia
 
mmmmh we noma kama kitu kama hicho unasisimuka
 

Duu ndugu yangu utakuwa unasumbuliwa na nyege za kikurya.
 
Mi nadhani labda kile kilio cha mke wa huyo jamaa alipokua akilia alihusisha kilio kile na kilio cha mwanamke wakati storongo inafanya kazi yake
"
Kuna wanawake wengine huwezi kutofautisha kilio cha kipigo na cha storongo
"
Mlio wao ni mmoja tu!

hahahahahaaaa yaani leo nimefurai sana.. E STORONGO ndo nn??? Daah tehtehteh nyie wa2 mwatuuwa sie..
 

Yaani mchana wa siku hiyo nilikuwa nimepiga bao mbili kwa demu fulani hivi, kwa hiyo sikuwa na njaa ya ile kitu kwa muda mrefu kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…