Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Wewe ni mgonjwa wa akili tu. Wahi Milembe ukapate matibabuImenitokea jana, jirani yangu alikuwa anampiga mke wake, sasa wakati kipigo kinaendelea huku mke wake akilia basi mimi huku nikawa nasisimka mwili kiasi hisia za mapenzi zikawa juu kweli kweli na ile kitu imesimama mno.
Nimejiuliza sana kwamba je hisia zangu zinaunga mkono ukatili!?, na je ni mimi tu au tupo wanaume wengi wa aina hii!
Wewe ni mgonjwa wa akili tu. Wahi Milembe ukapate matibabu
ha ha ha ha ha ha ha, utaniua kwa kucheka
kwa hiyo ukiona mwanamke kakatwa hata mkono unamaliza kabisa?
Hii ya leo noma. Kwa hiyo alikuwa akipigwa kofi we huku wapata raha? Baada ya kipigo kuisha ulikuwa umeshapiz?
Imenitokea jana, jirani yangu alikuwa anampiga mke wake, sasa wakati kipigo kinaendelea huku mke wake akilia basi mimi huku nikawa nasisimka mwili kiasi hisia za mapenzi zikawa juu kweli kweli na ile kitu imesimama mno.
Nimejiuliza sana kwamba je hisia zangu zinaunga mkono ukatili!?, na je ni mimi tu au tupo wanaume wengi wa aina hii!
Je ulipelekwa jando ulipofikia umri wa kufanya hivyo? Je wewe unaona ni kitu cha kawaida kwa mtu wa kawaida? Je angemuua ungesisimkwaje? Je umeoa au kuolewa? Je uliwahi kumuona daktari wa akili? Je una historia ya kupatwa na maradhi ya akili? Je kuna historia ya ugonjwa wa akili kwenye familia yenu?

Maswali mengi mno utafikiri final exams. Nami najishangaa kwa kifupi
ha ha ha ha, ukimuuliza maswali ya msingi kama haya, atakuambukiza huo ugonjwa bure.
Naskia unasambaa kama Ebola