CURRENT ISSUE
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 256
- 57
Kwa sababu uamsho au makanisa yote ya kipentekoste origin yake ni Marekani Azusa streetkwanini marekani na sio burundi?.
Au ule ubabe wa kivita na mandege ya hatari unawapa heshima maalumu?

Habari wanajamii,
Nimekuwa nikijiuliza na pia kufanya research na kusoma mada mbalimbali kuhusu uwepo wa bendera hasa ya Marekani katika makanisa ya kilokole hasa yanayomilikiwa na watu binafsi Lkn bado sijapata jibu sahihi nini maana yake, yawezekana uwepo wa bendera ya taifa flani mahali flani ni kwamba unakubaliana na sera zote za hilo taifa?
Naomba mwenye kujua siri au maana yake halisi atufahamishe na sisi tafadhali.
Nawasilisha.
Kanisa haliwezi kumilikiwa na Serikali ni lazima wawe watu binafsi!Habari wanajamii,
Nimekuwa nikijiuliza na pia kufanya research na kusoma mada mbalimbali kuhusu uwepo wa bendera hasa ya Marekani katika makanisa ya kilokole hasa yanayomilikiwa na watu binafsi Lkn bado sijapata jibu sahihi nini maana yake, yawezekana uwepo wa bendera ya taifa flani mahali flani ni kwamba unakubaliana na sera zote za hilo taifa?
Naomba mwenye kujua siri au maana yake halisi atufahamishe na sisi tafadhali.
Nawasilisha.
Acha kusema eti makanisa mengi ya kilokole just hit the point ni kanisa la yule msanii Mzee wa Upako ndiyo kuna bendera kama hotelini.Taja makanisa mengine zaidi ya hilo nililosemaHabari wanajamii,
Nimekuwa nikijiuliza na pia kufanya research na kusoma mada mbalimbali kuhusu uwepo wa bendera hasa ya Marekani katika makanisa ya kilokole hasa yanayomilikiwa na watu binafsi Lkn bado sijapata jibu sahihi nini maana yake, yawezekana uwepo wa bendera ya taifa flani mahali flani ni kwamba unakubaliana na sera zote za hilo taifa?
Naomba mwenye kujua siri au maana yake halisi atufahamishe na sisi tafadhali.
Nawasilisha.
Mkuu hiyo ya msikitini ndo naiona Leo, hiyo ni ya kwao wenyewe ama ya taifa flani?
BHANUNU Niliwahi ona post moja inakusema vvibaya nikahisi wanakuonea ila sasa Napata wasiwasi huenda ni kweli.......!Kwani sera ya hiyo bendera msikitini ikoje
Sent from Iphone
BHANUNU Niliwahi ona post moja inakusema vvibaya nikahisi wanakuonea ila sasa Napata wasiwasi huenda ni kweli.......!
Care to show evidence? Au ndio yale maneno ya vijiweni?
Utapiga makelele lakini ukweli haubadiliki hata siku moja...... Wengine kazi zenu ni kupindisha ukweli. Lakini hilo lipo wazi kwa wanaojua kuutafuta ukweli. Sidhani kama ni mahala rasmi kulielezea hili. Pole wewe unae ishi kwa maneno ya vijiweni.
Kazi ya nani? Nimekuuliza evidence umeongeza mambo mengi ambayo sijaakuuliza.
Ni ukweli gani ambao hauna vithibitisho?
Na Kama si mahala rasmi what was the pointing of raising the matter?
Mimi siiishi maneno ya kijiweni, else nisingedai ushahidi!
Naona umeshindwa kuthibitisha una resort to ad hominem!