Uhusiano wa HIV na Hepatisis B

Uhusiano wa HIV na Hepatisis B

m_ustar

Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
31
Reaction score
57
Salaam wakuu,
Ningependa kusaidiwa maelezo ya kitaalamu kwanini muathirika wa Virusi vinavyosababisha UKIMWI hawezi pewa chanjo ya ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B), kuna uhusiano gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapewi kwa sababu kuna dawa anazotumia yeye inayoitwa lamuvudine 3TC ktk combination form with other arv drugs huitibu hepatitis B iwapo itaingia mwilini. Hyo ndo sababu kuu ndugu. More information about HIV call 0710091609
Salaam Wakuu,
Ningependa kusaidiwa maelezo ya kitaalamu kwanini Mwathirika wa Virusi vinavyosababisha UKIMWI hawezi pewa chanjo ya ugonjwa wa homa ya Ini(Hepatitis B),kuna uhusiano gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapewi kwa sababu kuna dawa anazotumia yeye inayoitwa lamuvudine 3TC ktk combination form with other arv drugs huitibu hepatitis B iwapo itaingia mwilini. Hyo ndo sababu kuu ndugu. More information about HIV call 0710091609

Sent using Jamii Forums mobile app
Nnashukuru sana kwa Maelezo Mafupi ya kilaamu na yenyekueleweka,
Swali dogo tu la nyongeza inamaana wanaopewa chanjo(Vaccination) ya Hepatitis B maana yake hawana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom