Uhusiano na mwanamke "classy"


Sasa wenye sifa hizo mbona wote wameshaolewa.. Unaanzaje mkwepa mke kama huyo.
 
Sasa wenye sifa hizo mbona wote wameshaolewa.. Unaanzaje mkwepa mke kama huyo.
Muanzisha uzi anaona classy ni kuwa na elimu na kipato cha juu. Hao wasomi wasioolewa sio "classy" Ni wanawake tu ambao wamefanikiwa kimaisha lakini kuna vitu wanakosa. Na hao ndio ambao hawaolewi. Hayo niliyoorodhesha nilikua natoa jibu kwa aliyeuliza mwanamke classy yukoje.
 
Halafu wanasema ''Life is what you make''
 
Furaha ya Mwanadamu iko kwenye kuishi kwa wema,Ndoa ni jambo jema ambalo lilianza kwa Adam na Hawa..Hakika ya dunia ni starehe..na starehe iliyobora kumpata Mwanamke Mwema.
 

Certainly u are one of them
 
wanawake km hawa almost wana common behaviour sio tu kwamba wanachagua watu wanaofanana nao, kiuwezo na mafanikio.

Mwanamke ni mwanamke tu haijalishi kigezo ilimradi tu awe napapuchi na mwanamme atakuwa mwanamme mpaka hii dunia itakwisha ili mradi awe rijali haswa

kwenye mapenzi akuna vyeo kijana wala formular , sheria na ndomana huku mtaani kila leo wanawake wa aina hiyo hata wakiolewa hawadumu wanaachwa.
 
Hapo umeongea hakuna cha classy wala sijui nini mwanamke ni mwanamke tu..acha mambo ya ku copy copy huko ndio maana ndoa za siku hizi hata hazikai kwa sababu ya huo u class siuji upu...zi gani mwingine.Tatizo umezaliwa kama mwanaume na hujielewi kwa nini umekuwa mwanaume,pili wadada nao hawajitambui kwa nn wamekuwa wanawake.Ukichanganya na hivi vielimu kama cha huyo "classy"Ndio mvurugano,kama uliamua kuwa na mwanaume na ukatawanya miguu yako miwli kushoto kulia baaasi amua kujituliza na si mashauzi...tia mashauzi unatiwa mashauzi...msidanganyike wanume waliokamili hawana mbwembwe ambazo wengi wanafikiria.
 

Wewe acha hizo.....mwanamke si mwanamke tu na mwanaume si mwanaume tu.
 
Lakini hao wanawake classy wao huwaza tofauti kabisa kuhusu dhana ya umri. Wao huwaoni umri kama kigezo cha kujitupa kwa mwanaume yoyote tu.

​we endelea kuwadanganya wenzio ila muda ukifika ndio mtajua kuwa menopause sio ugonjwa wa meno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…