Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Kumbe kiwango elimu na mafanikio ya kimaisha ndio vinamfanya mwanamama kuwa classy.
Well, is Jokate a classy woman? Is Dr. Anna Tibaijuka a classy woman? Nao wamesoma pia wana mafanikio kimaisha.
Mna complicate maisha. Ndoa sio kila kitu. Furaha haipatikani kwenye ndoa peke yake. Na asikwambie mtu...wenye ndoa wana stress zaidi kuliko wasiokuwa nazo. Tukisema hapa walio kwenye ndoa na wana Furaha wanyooshe mikono, Kati ya Mia utapata watano.
Sikatai pia zipo ndoa ambazo wapo paradise.
Ni mtazamo tu.
Huh! I thought behavior and the way one conducts herself, played a big role in that.Nadhani jibu ni ndiyo......hao si wanawake wa hivi hivi tu.
Zinavunjika kila cku. Hata sasa hivi kuna ndoa ya mtu inavunjika. Msiwaone watu kwa nje wana raha. Humo ndani kwao ni jehanam. Furaha inapatukana popote pale, inategemea tu ya kwako ipo wapiHizo ndoa zingekuwa hazivunjiki hapo sawa!
Nadhani jibu ni ndiyo......hao si wanawake wa hivi hivi tu.
ukiwa na dushe na inafanya kazi una sifa yakutembea na yeyote,,,unadhana potofu we bint,,hakuna mwanaume ambae ha-qualify kutembea na mwananmke yeyote,,Sio kweli.....wanaume wengi huwaogopa na kuwahofia kwasababu wanaume hao wanajua hawana sifa za kuwa nao.
Mkuu Mwelewa, I guess wewe ni mwanamke ambae unajihisi ni ''classy'' !
naona you trying kujipa faraja na kujiweka kwenye comfort zone. Ofcoz I agree with you to some extent kwamba katika maisha kila mtu ana priorities zake regarding kimaendeleo ama kujipa furaha! LIFE has a lot of options. That's why kuna watu wanakaribia uzee bila kuoa/kuolewa and they are happy in their lives.
Na nilichokuja kujifunza mimi binafsi ni kwamba, katika Maisha... indicators za 'FURAHA' zina-vary from person to person.
Unazungumzia hao waongo!! Hakuna binadamu anayeweza kupingana naumbile ni kujidangaya tu.Watawa na makasisi hawana furaha maishani mwao?
Wewe hio ndoa unayo??Mna complicate maisha. Ndoa sio kila kitu. Furaha haipatikani kwenye ndoa peke yake. Na asikwambie mtu...wenye ndoa wana stress zaidi kuliko wasiokuwa nazo. Tukisema hapa walio kwenye ndoa na wana Furaha wanyooshe mikono, Kati ya Mia utapata watano.
Sikatai pia zipo ndoa ambazo wapo paradise.
Ni mtazamo tu.
Huyo ni KMleta mada wewe ni KE au Me??
Mkuu Kayanda nitake radhi mimi sio mwanamke.
Ipo kifuani now naona! Imenibanaje sasa!!Wewe hio ndoa unayo??
Au bado iko kichwani haijadhihirika kwenye physical world
Ipo kifuani now naona! Imenibanaje sasa!!
Ha ha ha... U will wait in vainIkishashuka 'chini' unitaarifu plz
Kumbe kiwango elimu na mafanikio ya kimaisha ndio vinamfanya mwanamama kuwa classy.
Well, is Jokate a classy woman? Is Dr. Anna Tibaijuka a classy woman? Nao wamesoma pia wana mafanikio kimaisha.