Uhusiano kati ya Tanzania na North Korea!

Kuna bendera ya north korea kule mikochen ni ubaloz wao nn?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Enzi za utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere,ilikuwa Korea Kusini ni Haramu,tuliitambua tu Korea Kaskazini.
Kwa lugha nyepesi chama cha TANU na baadae kikageuka kuwa CCM ,ukiangalia bendera ya CCM inafanana kwa karibu na bendera za vishoka,kwa maana wakominist au wajamaa ndio wanafungamana na CCM na serikali yake.China,Vietnam,Cuba,Serbia,Russia,Angola,n.k ndio washiriki wakubwa wetu.
 
Ubalozi wao upo mikocheni karibu na ubalozi wa Malawi ni washikaji wetu hawa.
 
Marafiki wa Nyerere bhana,wakati mwingine wanafikirisha
Socialists ndio waliotoa mchango kukomboa bara la Africa

Marafiki wa nyerere kama Cuba wenye mrengo wa kijamaa ndio waliotoa majeshi,silaha ,ujuzi nk kukomboa bara la Africa mikononi mwa mabeberu wakoloni

Soviet Union na China walikuwa na mchango mkubwa

Lakini mabepari kama USA waliosema Mandela alikuwa terrorist na alikuwa kwenye watchlist ya CIA kama terrorist ,na ndio waliokuwa wana support apartheid

Mwalimu hakutaka kuwakumbatia hao marafiki mnaowaona wazuri ndio maana akaachia madaraka na azimio yake ya arusha

Baada ya nyerere kuondoka na kumwachia mwinyi na mkapa ndio ma iptl ,buzwagi na ujinga kila mahali Mara acacia ,Leo taifa inalalamika

Nyerere alikuwa sawa kuwa na marafiki wenye mrengo na msimamo mmoja ,na ukizangatia mwalimu alikuwa m-socialist
 
Marekani Itaipiga Lugalo, Monduli, Tabora Ngome, Kigoma, Arusha Kwa Siku Moja tuu halafu Vita inakua imeisha
 
Back
Top Bottom