UhuRuto 2013

Arriving in Style - at Aldai.




















Hon. Kilimo - at Aldai.
 
Jubilee Coalition Rally in Turkana County






























 
Hizi Kampeni za Kenya zinaweza Kuwa ni Second kwa Ubunifu baada ya South Africa, Kwa Bara zima la Africa Ni South Africa pekee wenye kampeni za aina hii na sasa Kenya, Jamaa wana ubunifu wa Hali ya Juu kabisa, Na CHADEMA inabidi ichukue Maujanja hapa ingawa hata magamba hawatakuwa nyuma
 
Mbuzi Mzee,hebu mtumie hizi picha Mangula,Nape,Mwigulu na Kinana. With the message that kama unasera nzuri huhitaji pilau wala malori ya kubeba watu kukusikiliza bali watu watakufata tuu.
 
Hii nchi ya ajabu,masuspect wanagombea urais!?Wakifungwa wataongoza kwa skype!?
 
siasa za Kenya si mchezo. Ni ngumu kujua nani atashinda
 
Uhuru naye anainspire kijiti cha meru!
 
[h=2]About UhuRuto 2013[/h]http://www.UhuRuto2013.com
We believe that Kenya’s diversity is one of our greatest strengths. It leads to a dynamic and vibrant society that is fuelled by a constant exchange of ideas.
 
Hii nchi ya ajabu,masuspect wanagombea urais!?Wakifungwa wataongoza kwa skype!?

Mkuu achana na siasa za Odinga za vitendawili. Angalia watu walio komaa kama UhuRuto. They mean business na si kulilia uwaziri mkuu kama yule jaluo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…