Uhuru wakuwa huru!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wasalaam,
Nimekuja kwenye nezakuu nina hili linahitaji hekima na busara zenu
Kichwa cha habari kina sema Uhuru wa kuwa Huru!.Kama mwanadamu nayehitaji kuwa huru na mazingira yanayo nizunguka na wajibu wakuuliza chocote kinacho nifanya nisiwe huru pili kama katibaya Jamuhuri inavyosema ni haki yangu kikatiba kutoa uhuru wa mawazo!
"Je kwani baadhi ya madhehebu wamekuwa wakiwasababishia usumbufu watu kwakisingizio cha dini??mathala wakiristu wamekuwa wakipiga kengere nzito!!Kila mara saa kumi na moja je hiyo ni haki kwawale wasiyo wakristu je sikuwasababisia usumbufu nakukiuka katiba ya kuwa kila mtu anatakiwa kuwa huru???"
"Kwa dhehebu jingine la waislamu je na wo kuamka saa tisa usiku navipaza sauti vikubwa!!Nakupiga azana kwanguvu zao walizopewa na mwenyezi je siyo kuwanyima hakiwasio kuwa wahumini wa dhehebu hilo??je sikuwasababisia usumbufu nakukiuka katiba ya kuwa kila mtu anatakiwa kuwa huru???"

Nahitaji ufafanuzi wenu wakuu.:A S 39:
 
Kumbuka kuwa madhehebu ni Institutions kama Instituitions nyingine. Zinatakiwa kusajiliwa kama zingine. Na utendaji wake wa kazi ni lazima uwe wa halali na uheshimiwe. Hivyo basi utendaji wake wa kazi ni lazima uheshimiwe pia! Sioni kama kuna usumbufu wowote katika hilo.
 
Nadhani kama ungepost kwenye sehemu ya "Habari na hoja mchanganyingo", ingefaa zaidi ya hapa.
 
all in all; jamaa wanasumbua sana, na wengine wanakesha na mirusha roho yao
 
Kumbuka kuwa madhehebu ni Institutions kama Instituitions nyingine. Zinatakiwa kusajiliwa kama zingine. Na utendaji wake wa kazi ni lazima uwe wa halali na uheshimiwe. Hivyo basi utendaji wake wa kazi ni lazima uheshimiwe pia! Sioni kama kuna usumbufu wowote katika hilo.

Ndiyo nakubali lakini kumbuka kuna uhuru wawatu na wenyewe unahitaji kuheshimiwa pia!!!Ndiyo maana hata club night zinatakiwa zisiwe katikati ya makazi ya watu hiyoyote nikulinda katiba ya jamuhuri kwakuheshimu UHURU WA WATU!
 
Back
Top Bottom