M miss personal cook Member Joined Apr 4, 2019 Posts 81 Reaction score 90 May 19, 2019 #1 Karibuni wanawake kwa wanaume kwenye semina kubwa ya jinsi gani unaweza kupata Uhuru wa kifedha kutokana na mazingira yaliyokuzunguka. Ni tarehe 23 May 2019 ukumbi wa Lion hotel sinza kijiweni. Kujua muda na kupata tiketi ya kiingilio wasiliana na mimi PM Hakuna kiingilio. Kati ya wasemaji atakuwepo Beatrice mwalimu mstaafu na mjasiliamali Karibuni
Karibuni wanawake kwa wanaume kwenye semina kubwa ya jinsi gani unaweza kupata Uhuru wa kifedha kutokana na mazingira yaliyokuzunguka. Ni tarehe 23 May 2019 ukumbi wa Lion hotel sinza kijiweni. Kujua muda na kupata tiketi ya kiingilio wasiliana na mimi PM Hakuna kiingilio. Kati ya wasemaji atakuwepo Beatrice mwalimu mstaafu na mjasiliamali Karibuni
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,985 May 19, 2019 #2 Mimi na malizia "Nyote mnakaribishwa"
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 May 19, 2019 #3 Wazee wa motivation..... Haya kiingilio bei gani....... Ova