Hii inatokea sana umekaa na mpenzi wako au mnatembea jamaa au mwanamke anatumia uhuru huo kwa kuto angalia mipaka yake, mfano anamkamata kalio au anamtekenya jilani au anamfinya, Je ukiishtukia hatua gani unapaswa kuichukua kukabiliana na mgogoro wa kuona na ubongo?