Weka mifano ya hayo aliyofanya acha mahabaUnajua siasa zikifanywa na watu wanaoelewa zinakua nzuri sana. Mimi sio mkenya ila kwa haraka haraka tuu nikiangalia uongozi wa Uhuru Kenyatta na kazi alizofanya, sisiti kutamka kwamba jamaa amezaliwa kuongoza na baba yake alimlea aje kuongoza. Haihitaji kujua kusoma kuona maendeleo makubwa yaliyotokea kenya. Cha muhimu wakenya wachangamane waachane na ukabila watafika ilipo china ndani ya karne moja tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
smh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war
smh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko LiVE hapa Citizen namuangalia Odinga anavyowahutubia wakenyasmh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru akifanikiwa kuondoa rushwa, Uhuru ni kiongozi mzuri sanaUnajua siasa zikifanywa na watu wanaoelewa zinakua nzuri sana. Mimi sio mkenya ila kwa haraka haraka tuu nikiangalia uongozi wa Uhuru Kenyatta na kazi alizofanya, sisiti kutamka kwamba jamaa amezaliwa kuongoza na baba yake alimlea aje kuongoza. Haihitaji kujua kusoma kuona maendeleo makubwa yaliyotokea kenya. Cha muhimu wakenya wachangamane waachane na ukabila watafika ilipo china ndani ya karne moja tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahmbona haji huyu mkikuyu au anaogopa?
Kama hutaki kusemwa hamia Somalia
muoga huyu ameshajua baba gonna kick him out.